Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu ndio nyota wa EPL alietupwa jela kwa kufanya mapenzi na mtoto

Adam Johnson Jailed Adam Johnson

Fri, 14 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tarehe kama ya leo mwaka 1987 alizaliwa winga wa kimataifa wa England, Adam Jonson.

Alisaini Sunderland mwaka 2012 baada ya misimu miwili akiwa na Manchester City. Alifungwa miaka sita gerezani mwaka 2016.

Johnson alifungwa jela kwa kosa la kufanya ngono na msichana aliyekuwa na umri wa miaka 15. Msichana huyo alikuwa shabiki wake uwanjani.

Kufuatia tukio hilo, Johnson ambaye ameachiwa gerezani miaka michache iliyopita alifukuzwa na klabu yake ya Sunderland ingawa amesamehewa na mkewe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live