Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu ndio mrithi wa CEO Man United

JeanClaude Blanc.jpeg Jean Claude BLANC

Thu, 16 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kutokana na mchakato wa mauzo ya klabu ya Manchester United ya asilimia 25% kwenda kwa Sir, Jim Ratcleffe kumekuwa na maboresho kwenye muundo wa uongozi ili zoezi hilo kufanyika.

Kuelekea mchakato huo klabu imemuengua aliyekuwa Managing director na Chief Executive Officer ndani ya miaka 16, Richard Anord ambaye alipewa kiti kama CEO baada ya Ed Woodward kuondoka 2022.

Mwanasheria wa klabu hiyo Patrick Stewart atahudumu nafasi hiyo kwa muda huku Anord akinsaidia hadi mwezi Disemba atakapoondoka rasmi.

Kabla hajapigiwa kura rasmi za kumiliki sehemu ya hisa ndani ya Manchester United, Sir Jim Ratcliffe ameendelea kuweka mkazo katika kubadilisha sehemu ya muundo wa uongozi, ameanza na Richard Arnold baada ya kuingia rasmi anakuja na kocha

Jean Claude BLANC ndiye CEO anayepigiwa upatu kurithi Mikoba ya Richard klabuni hapo, mafanikio yake makubwa kwenye soka aliyapata pale TURIN baada ya kuhakikisha Juventus inaimarika kiuchumi na kurejea tena ligi kuu (ilikuwa miaka ya 2002+), baada ya kurejea ligi kuu na kusort issue za FINANCIAL, akaipatia na uwanja kwenye mchakato wake kama CEO.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live