Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu ndio mfungaji wa bao la kwanza AFCON 2023

Seko Fofanaaaa Mchezaji wa Ivory Coast, Seko Fofana

Mon, 15 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa Ivory Coast, Seko Fofana ametumia dakika 4 kuipa bao timu yake dhidi ya Guinea- Bissau katika mchezo wa kwanza wa AFCON 2023 ikipigwa nchini humo.

Mchezaji wa Ivory Coast, Seko Fofana ametumia dakika 4 kuipa bao timu yake dhidi ya Guinea- Bissau katika mchezo wa kwanza wa AFCON 2023 ikipigwa nchini humo. Fofana atabaki na kumbukumbu hiyo nzuri katika michuano hii ambayo ndiyo imeanza hatua ya makundi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live