Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu ndio chanzo cha maumivu kwa Timu nyingi pale Jangwani

Taibi Lagrouni Yangaaaaa Taibi Lagrouni (katikati) akiwa na Wachezaji wa Yanga

Thu, 9 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kama unakumbukumbu wakati wa pre-season niliwahi kuandika kuhusu mazoezi wanayopewa wachezaji wa Yanga na kocha, Taibi Lagrouni raia wa Morocco.

Niliwahi kuandika kuwa mazoezi hayo yanawajenga sana wachezaji wa Yanga kuwa fiti kitu ambacho kitazitesa sana timu zingine.

@taibilagrouni ambaye ameshuhudumu ndabi ya klabu ya RS Berkane iliyokuwa bora kabisa na iliyoleta kombe.

Mpaka sasa msimu huu ligi kuu

Wamefunga jumla ya magoli 26

Mechi 9

Magoli 18

kipindi cha pili 26

Kipindi cha Pili

KMC (goli 4)

JKT Tanzania (Goli)

Namungo (Goli 1)

Geita gold (Goli 2)

Azam (Goli 2)

Simba (Goli 4)

Coastal Union (Goli 1)

Kimataifa

Al-Merrick (Goli 2)

Al-Merrick (Goli 1)

ASAS (Goli 3)

Inaleta tafsiri gani : Timu nyingi ligi kuu zinashindwa kufikia level ya Fitness waliyonayo wachezaji wa Yanga that's why nguvu nyingi hutumika kipindi cha kwanza kuwazuia but kipindi cha pili pumzi hukata wakati ambapo Yanga wao ndio wanaongeza gia nyingine.

Unaamini siri goli tano tano au sita itakuwa imeisha ama wamepumzika ?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: