Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu ndio beki mwenye magoli mengi UEFA

Fbl Eur C1 Sevilla Psv 1 1 Mlinzi wa Sevilla Sergio Ramos

Thu, 14 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi wa Sevilla Sergio Ramos amekuwa beki mwenye magoli mengi zaidi kwenye historia ya UEFA Champions League.

Mlinzi wa Sevilla Sergio Ramos amekuwa beki mwenye magoli mengi zaidi kwenye historia ya UEFA Champions League. Ameweka rekodi hii baada ya kufunga goli moja usiku wa jana kwa mkwaju wa penati amefikisha mabao 17 na kumpiku Gerrard Pique.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live