Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu ndio aliepo nyuma ya mafanikio Real Madrid

Juni Calafat Ttt Juni Calafat

Wed, 5 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Juni Calafat alijiunga na Real Madrid kama Scout wa wakaida hivi sasa ni Chief Scout wa Real Madrid baada ya kupendekeza majina kadhaa pale Real Madrid na mambo yakajipa.

Juni Calafat alijiunga na Real Madrid kama Scout wa wakaida hivi sasa ni Chief Scout wa Real Madrid baada ya kupendekeza majina kadhaa pale Real Madrid na mambo yakajipa. Huyu jamaa ndio anazijua figisu zote kwenye usajili wa Real Madrid na hata ukienda kule amerika kusini ambapo amekulia ndio kabisa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live