Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu ndio Shabiki alietabiri Messi kubeba Kombe la Dunia tangu 2015

Shabiki Utabiri.png Huyu ndio Shabiki alietabiri Messi kubeba Kombe la Dunia tangu 2015

Mon, 19 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwaka 2015 Mwanaume huyu anayejulikana kwa majina ya “Jose Miguel Polanco” aliwahi kutabiri kwa kuandika "Tweet" na kusema kuwa Messi na Argentina watashinda Kombe la Dunia tarehe 18 Desemba 2022.

Mwaka 2015 Mwanaume huyu anayejulikana kwa majina ya “Jose Miguel Polanco” aliwahi kutabiri kwa kuandika "Tweet" na kusema kuwa Messi na Argentina watashinda Kombe la Dunia tarehe 18 Desemba 2022. Tweet yake imesambaa sana kwenye mitandao ya kijamii baada ya jana Argentina kushinda kombe la Dunia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live