Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu ndio Robertinho, mtaalamu wa mipango

Robertinho Mipango Huyu ndio Robertinho, mtaalamu wa mipango

Mon, 17 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba walistahili sana Jana kuifunga Yanga kwasababu kiwango chao cha nidhamu ya mbinu kilikuwa juu sana (high level of tactical discipline)

Simba wakiwa hawana mpira tendo la kwanza lilikuwa pressing pressing huko huko juu kwenye shape yenye mstari wa wachezaji wa nne yaani Chama,Baleke na Saido. Na Kibu he was fantastic presser.

Simba wakiwa na mpira tactical transition yao ilikuwa 2-2-2-4,hii system iliwapa uwiano mzuri sana baada ya kutoka kwenye kipindi cha kushambulia (tactical transition to attacking period)

Kwenye mpira wa kisasa hakuna kitu muhimu Kama ku react haraka kwenye matendo yote uwanjani,Simba walikuwa Wana react haraka sana kwenye kila tendo hasa kipindi ambacho walipoteza mpira.

Robertinho Master Mind,anaamini njia rahisi ya kushinda mechi Ni kuanza kuua build up ya mpinzani mapema.Robertinho

Kibu Dennis,mchezaji wa kisasa sana anajua ku press,anakimbia muda mwingi uwanjani,Jana kacheza sana kwa maelekezo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live