Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu ndio Pilato atakaeamua safari ya Simba CAF

Rfa Simba Vs Horoya Mwamuzi Mohamed Adel Elsaid

Thu, 16 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Vigogo Simba wana dakika 90 za kuandika rekodi ya kufuzu robo fainali ya michuano ya CAF wikiendi hii endapo wataibuka na ushindi dhidi ya Horoya ya Guinea.

Vigogo Simba wana dakika 90 za kuandika rekodi ya kufuzu robo fainali ya michuano ya CAF wikiendi hii endapo wataibuka na ushindi dhidi ya Horoya ya Guinea. Simba imepata kupangiwa mwamuzi Mohamed Adel Elsaid kutoka Misri, katika mechi saba za kimataifa alizochezesha timu ya nyumbani imeshinda minne, sare miwili na kupoteza mmoja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live