Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu ndio Pilato Mchezo wa Simba vs Ahly kwa Mkapa

Dahane Beida Mwamuzi Dahane Beida raia wa Mauritania

Tue, 10 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwamuzi Dahane Beida raia wa Mauritania amechaguliwa kuchezesha mchezo wa ufunguzi wa Ligi ya Soka ya Afrika (African Football League) kati ya Wenyeji Simba SC ya Tanzania dhidi ya Mabingwa wa Afrika, Al Ahly katika dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam siku ya Ijumaa Oktoba 20, 2023.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live