Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu ndio Pacome Zouzoua "Zidane wa Bongo"

Pacome Zouzoua Nov.jpeg Huyu ndio Pacome Zouzoua "Zidane wa Bongo"

Tue, 7 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Juzi katika Dabi ya Kariakoo Kuna wakati Kiungo wa Yanga Pacome Zouzoua alikuwa anateleza na mpira wala sio kukimbia nao...

Ni kama alikuwa anapita juu ya barafu (Gliding) na ule mpira...wala hatumii nguvu...Effortless...Top technic.

Ni moja ya sajili bora kabisa walizozifanya Yanga dirisha lililopita na tayari ameanza kuonesha thamani yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: