Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu ndio Kocha aliekaa miaka 9 pasipo kupoteza mchezo

Jose Mourinho Portugal.jpeg Jose Mourinho

Wed, 29 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

"Ilipita miaka 9 na mechi 150 kwa Kocha Jose Mourinho bila kupoteza mchezo wowote wa ligi akiwa anacheza Uwanja wa Nyumbani."

"Alianzia mwezi Machi tarehe 16 mwaka 2002 mpaka mwezi April tarehe 2 mwaka 2011."

"Katika kipindi hicho chote alifundisha vilabu kama FC Porto, Chelsea, Inter milan na Real Madrid."

"Alikutana na zaidi ya makocha 107 na hakuna hata mmoja aliyefanikiwa kumfunga kwenye ligi akiwa Nyumbani."

Takwimu ya Jose Mourinho ya kutisha:

Rekodi ya Ligi ya nyumbani Februari 2002 - Aprili 2011

Mechi 150, ushindi 125 na sare 25

Mabao 342 ya kufunga mabao 87 ya kufungwa

Hakupoteza mchezo hata mmoja wa nyumbani kwa miaka 9"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live