Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu ndio Jude Bellingham wetu kibongo bongo

Fei X Jude Huyu ndio Jude Bellingham wetu kibongo bongo

Wed, 29 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nikimuangalia Kiungo wa Azam FC, Feisal Salum "Fei Toto" anapocheza naipata picha ya Jude Bellingham kibongo bongo.

Feisal ni mmoja wa viungo wachache wa kitanzania wasiokata kiu yako ya kumtazama pindi awapo uwanjani.

Kuitunza mali

Ukabaji

Kushambulia

Dribbling

Kuchezesha

Mashuti

Nyanja zote hizi Feisal yupo njema, na huwezi kabisa kusema kuwa anabahatisha mpaka wapinzani wanamtani.

Usimuangalie kwa jicho la chuki sababu aliondoka kwenye timu yako, weka jicho la kiufundi utaamini nnachokisema.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live