Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu ndie Staa wa Soka alieamua kuwa Mchungaji

WhatsApp Image 2023 01 06 At 13n.jpeg Gavin Peacock

Fri, 6 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ni ngumu kumtambua nyota huyu wa zamani wa Chelsea na New Castle ambaye kwa sasa ni Mchungaji.

Gavin Peacock (55) alikuwa mwanasoka kwa miaka 18 na baada ya kustaafu kiungo na mshambuliaji huyo wa zamani alikwenda kuwa mchambuzi wa televisheni BBC.

Baadae alihamia Canada na kwa miaka mitatu alisomea shahada ya uzamili kwenye masuala ya Theolojia.

Pembeni ya kuwa mchungaji, Peacock pia anaandika vitabu kuhusu ndoa na familia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live