Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu hapa pilato wa mchezo wa Chelsea vs Arsenal wikiendi hii

IMG 6050.jpeg Chris Kavanagh

Tue, 17 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwamuzi kutoka Uingereza Chris Kavanagh atakuwa mwamuzi wa mchezo wa Chelsea dhidi ya Arsenal wikendi hii utakaopigwa katika Dimba la Stamford Bridge.

Mwamuzi kutoka Uingereza Chris Kavanagh atakuwa mwamuzi wa mchezo wa Chelsea dhidi ya Arsenal wikendi hii utakaopigwa katika Dimba la Stamford Bridge. Jarred Gillett atakuwa katika upande wa teknolojia ya VAR.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live