Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu hapa ndio mbabe wa Man United Old Trafford

Pascal Gross 169.jpeg Staa wa Brighton, Pascal Gross

Mon, 18 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Brighton, Pascal Gross ameweka rekodi ya kufunga mabao manne ya Ligi Kuu England kwenye dimba la Old Trafford na hiyo imemfanya kuwa mchezaji wa tatu kufunga mabao mengi kwenye Uwanja huo akiongozwa na Steven Gerrard na Mohamed Salah ambao wote wamefunga mabao matano kiujumla mechi walipocheza hapo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live