Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu hapa mrithi wa Toni Kroos Real Madrid

Toni X Fede Huyu hapa mrithi wa Toni Kroos Real Madrid

Wed, 22 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa kati wa Real Madrid Federico Santiago Valverde Dipetta atavaa jezi namba ya nane 8 ambayo huvaa KIUNGO fundi Toni KROOS, 34 ambaye amethibitisha rasmi kustaa soka la kulipwa baada ya kumaliza michezo ya Euro .

Huenda mchezo kati ya Dortmund mchezo wa fainali ligi ya mabingwa Ulaya ukawa ndio mchezo wa mwisho kwa ngazi ya klabu kwa KIUNGO huyo.. mchezo huo utapigwa mwezi Ujao tarehe 1 kunako dimba la WEMBLEY huko Uingereza

KROOS na mafanikio yake :

World Cup

Champions League (5)

Club World Cup (6)

Bundesliga (3)

La Liga (4)

UEFA Super Cup (5)

German Cup (3)

Copa del Rey (1)

Spanish Super Cup (4)

German Super Cup (1)

Hata hivyo wachezaji na wadau wengi wa soka wameshtushwa na maamuzi ya mwamba huyo!!

Chanzo: www.tanzaniaweb.live