Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu hapa mrithi wa Sancho Man United

Takefusa Kubo X Sancho.jpeg Huyu hapa mrithi wa Sancho Man United

Mon, 30 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Manchester United inatajwa kuwa kwenye mpango wa kumsajili winga wa Real Sociadad Mjapan, Takefusa Kubo ambae atawagharimu United Euro million 60 hadi 70.

Klabu ya Manchester United inatajwa kuwa kwenye mpango wa kumsajili winga wa Real Sociadad Mjapan, Takefusa Kubo ambae atawagharimu United Euro million 60 hadi 70. Taarifa zinadai kuwa nyota huyo anaenda kuchukua nafasi ya Jadon sancho ambae inaelezwa kuwa huenda akaondoka United baada ya kiushindwa kuelewana kocha mkuu wa timu hiyo Erik Ten Hag.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live