Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu hapa mchezaji aliecheza mechi mbili siku moja

Mark Hughes Mark Hughes alicheza mechi mbili ndani ya siku moja

Fri, 11 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Siku kama ya leo Novemba 11, 1987 Mark Hughes aliweka rekodi ya kipekee kwa kucheza mechi mbili za Kimashindano kwa siku moja.

Ni ngumu kucheza mechi mbili za mpira wa miguu kwa siku moja lakini mwamba Mark Hughes mnamo mwezi Novemba 1986 alicheza mechi mbili.

Mechi ya kwanza iliyopigwa mchana Mark Hughes alikipiga kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Wales kilichoifunga Czechoslovakia mambao 2-0 mjini Prague na mechi ya pili iliyopigwa jioni alikwea pipa mpaka Ujerumani ambapo alicheza kwenye kikosi cha Bayern Munich kilichoibamiza Borussia Mönchengladbach mabao 3-2.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live