Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu hapa Pilato wa Dabi ya Kariakoo

Jonesia Rukyaaa Jonesia Rukyaa

Sat, 15 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwamuzi Jonesia Rukyaa ndiye atakayesimamia mchezo wa watani wa jadi Simba vs Yanga hapo kesho kwenye Dimba la Benjamin Mkapa.

Mwamuzi Jonesia Rukyaa ndiye atakayesimamia mchezo wa watani wa jadi Simba vs Yanga hapo kesho kwenye Dimba la Benjamin Mkapa. Jonesia atasaidiwa na Mohamed Mkono pamoja na Janeth Balama watakaokuwa waamuzi wa pembeni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: