Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu hapa Pilato atakaeamua safari ya Yanga Ligi ya Mabingwa Afrika

Tanguy Mebiani.jpeg Tanguy Mebiani kutoka Nchini Gabon

Fri, 22 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tanguy Mebiani kutoka Nchini Gabon ameteuliwa na shirikisho la soka Africa CAF kuwa mwamuzi wa kati kwenye mchezo wa mkondo wa pili wa ligi ya mabingwa Africa, Yanga SC dhidi ya Al-Merrikh.

Tanguy Mebiani kutoka Nchini Gabon ameteuliwa na shirikisho la soka Africa CAF kuwa mwamuzi wa kati kwenye mchezo wa mkondo wa pili wa ligi ya mabingwa Africa, Yanga SC dhidi ya Al-Merrikh. Mchezo huo utachezwa 30 September 2023 katika uwanja wa Azam complex .

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: