Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu hapa Pilato Fainali CRDB Cup, Yanga vs Azam Zanzibar

Arajiga Refa Zanzibar Ahmed Arajiga

Sat, 1 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwamuzi kutoka Mkoani Manyara, Ahmed Arajiga ndiye atakayechezesha mechi ya fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB Bank kati ya Azam FC dhidi ya Yanga kesho Jumapili Juni 2, 2024.

Arajiga atasaidiwa na Frank Komba, Mohamed Mkono na Amina Kyando katika mchezo huo ambao umeonekana kuvuta hisia za wengi.

Je kwa Utabiri wako unadhani nani atafanikiwa kunyakua Ubingwa? Tupe maoni yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: