Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu hapa Mwamuzi wa Simba Vs Al Ahly

Huyu Hapa Mwamuzi Wa Simba Vs Al Ahly Huyu hapa Mwamuzi wa Simba Vs Al Ahly

Thu, 28 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Huyu hapa Mwamuzi Abongile Tom (32) kutoka Afrika Kusini ndiye ataamua mchezo wa kesho kati ya Simba SC dhidi ya Al Ahly SC ya Misri.

Mwamuzi huyu wa kimataifa amekuwa akitumika zaidi katika mechi mbalimbali za kimataifa ikiwemo michuano ya AFCON iliyofanyika Ivory Coast mwaka huu.

Abongile ndiye aliamua mchezo wa hatua ya makundi ya #CAFCL kati ya Wydad AC dhidi ya Simba SC iliyopigwa Desemba, 2023 nchini Morocco na kumalizika kwa 1-0 goli la dakika za Jioooni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live