Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu hapa Kocha mpya JKT Tanzania

Hamad Ally Kocha JKT Tz Hamady Ally

Sat, 13 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya JKT Tanzania imemtangaza aliyekuwa kocha wa Tanzania Prisons, Hamady Ally kuwa kocha mkuu klabuni hapo kuelekea msimu mpya wa 2024/25.

Klabu ya JKT Tanzania imemtangaza aliyekuwa kocha wa Tanzania Prisons, Hamady Ally kuwa kocha mkuu klabuni hapo kuelekea msimu mpya wa 2024/25. “Tunayo furaha kuwatangazia kocha wetu mpya atayetufikisha nchi ya ahadi Mr. Hamady Ally ndiye kocha wetu. Soka la pasi nyingi za kasi, kushambulia na kurudi kwa kasi” imesema taarifa ya maafande hao wa JKT Tanzania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live