Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu hapa Kocha mpya Borussia Dortmund

Nuri Sahin Nuri Sahin

Sat, 15 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kocha Edin Terzic kutangaza kuachana na kikosi cha Borussia Dortmund, klabu hiyo Nuri Şahin (35) kuwa kocha wao mpya.

Baada ya kocha Edin Terzic kutangaza kuachana na kikosi cha Borussia Dortmund, klabu hiyo Nuri Şahin (35) kuwa kocha wao mpya. Sahin aliyewahi kutamba na kikosi hicho kama kiungo mshambuliaji anapewa jukumu hilo baada kufanya vyema na moja ya klabu ya nchini kwao Uturuki.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live