Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyu Tchakei ni mtu aisee, Simba, Yanga hamjamuona tu?

Marouf Tchakei Marouf Tchakei.

Tue, 20 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kumalizika kwa nusu ya kwanza ya msimu wa Ligi Kuu ya NBC, ni wachezaji watano pekee ambao wamehusika kwenye magoli 10 na zaidi, Marouf Tchakei yumo.

1. Stephanie Aziz Ki - Yanga SC

⚽️ Goal 10 Assist 2 = Jumla 12

2. Feisal Salum - Azam FC

⚽️ Goal 8 Assist 4 = Jumla 12

3. Maarouf Tchakei - Singida FG/Ihefu

⚽️ Goal 7 Assist 3 = Jumla 10

4. Max Nzengeli - Yanga SC

⚽️ Goal 8 Assist 2 = Jumla 10

5. Kipre Junior - Azam FC

⚽️ Goal 4 Assist 6 = Jumla 10

Where is Chama?

Where is Pacome?

Hakuna kiumbe mwingine zaidi ya hawa watano, waliohusika kwenye goli 10+ hapo ukiangalia kuna Simba, Yanga na Azam, Marouf peke yake ndiyo anatoka timu nje ya Simba, Yanga na Azam FC.

Timu itayofanikiwa kumchukua huyu mapema dirisha kubwa watakua wamepata mtu haswa, hastahili kuendelea kubaki katika Mashamba ya Mpunga akati pale Kariakoo kuna Okrah sijui wakina Babu Kipara Said.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live