Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huyo Rashord huko United hakamatiki

Rashford Pic Data Marcus Rashford

Mon, 20 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Marcus Rashford amefunga mabao 24 katika mashindano yote msimu huu, ni mabao mengi zaiidi kuwahi kuyafunga ndani ya msimu mmoja katika career yake.

Rashford katika mashindano yote msimu huu hadi sasa

Michezo 36

Ameanza michezo 29

Dakika alizocheza 2699

Mabao 24

Pasi za mabao 7

Amehusika katika mabao 31

kuhusika katika bao kila baada ya dakika 87

Marcus Rashford pia sasa amefunga mabao 8 dhidi ya Leicester City katika premier league, ni mengi zaiidi ya aliyoyafunga dhidi timu nyengine yoyote katika ligi hiyo.

Takwimu zake dhidi ya Leicester City

michezo 15

mabao 8

pasi za mabao 1

ushindi michezo 9

sare michezo 4

kupoteza michezo 2

Rashford pia amefunga mabao 17 katika mashindano yote katika uwanja wa Old Trafford msimu huu, ni mabao mengi kufungwa na Mchezaji wa Manchester United ndani ya msimu mmoja katika uwanja huo tangu Wayne Rooney 2011-12 (mabao 19).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live