Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huu ndio mkwanja watakaopata Yanga, Simba na Azam, kuna walionuna?

Yanga, Simba Azam Vilabu vilivyomaliza katika nafasi tatu za juu

Wed, 29 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Ligi Tanzania Bara 2023/24 kumalizika jana Mei 28, Hiki ndicho kiasi cha pesa watakavyopata Vilabu vyote 16 vilivyoshiriki Ligi Kuu Msimu 2023/24.

Fedha hizi ni Bonus kwa Timu zote zilizoshiriki Ligi Kuu msimu 2023/24 kutoka kwa Azam TV ambao ndio wenye haki ya kurusha matangazo ya Televisheni.

Mgawanyo wa Fedha ni kama ifuatavyo;

1. Yanga (Sh 600,000,000)

2. Azam (Sh 300,000,000)

3. Simba (Sh 255,000,000)

4. Coastal Union (Sh 200,000,000)

5. KMC (Sh 65,000,000)

6. Namungo (Sh 60,000,000)

7. Ihefu (Sh 55,000,000)

8. Mashujaa (Sh 50,000,000)

9. Tanzania Prisons (Sh 45,000,000)

10. Kagera Sugar (Sh 40,000,000)

11. Singida FG (Sh 35,000,000)

12. Dodoma Jiji (Sh 30,000,000)

13. JKT Tanzania (Sh 25,000,000)

14. Tabora United (Sh 20,000,000)

15. Geita Gold (Sh 10,000,000)

16. Mtibwa Sugar (Sh 10,000,000)

TIMU YENYE NIDHAMU: (Tsh 20,000,000)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: