Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huu hapa ufafanuzi adhabu ya Mchezaji wa Ahly aliehukumiwa kifungo Jela

Hussein El Shahat Ufafanuzi wa Adhabu aliyopewa Hussein El Shahat

Tue, 4 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Winga huyu aliyekutwa na hatia ya kupigana hadharani adhabu ya Mwaka mmoja jela hataitumikia Lupango bali atakuwa kwenye uangalizi maalum ambao hatakiwi kufanya kosa lolote fanani kwa Mwaka mmoja.

Haitakiwi kushtakiwa na Mtu mwingine yoyote ndani ya kipindi hicho kwa kosa fanani na hilo au jingine fikirishi.

Aidha… Ndani ya Kipindi cha miaka mitano Shahat hataruhusiwa kushika wadhifa wowote wala kuwa mwanachama wa timu yoyote ya Michezo na hatma yake itasalia kwenye uangalizi.

Adhabu ya faini iampasa kulipa kama kawaida na adhabu hiyo imepungua makali kwa sababu alishafungiwa mechi kadhaa baada ya tukio hilo, mchezaji mwenyewe kukiri kosa na alishalipishwa faini na Chama cha soka cha Misri.

Kwa sasa ataendelea kucheza (kujishughulisha na soka) akiwa kwenye matazamio hayo

Chanzo: www.tanzaniaweb.live