Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huu hapa munekano wa uwanja mpya wa Bil. 28 Arusha

Huu Hapa Munekano Wa Uwanja Mpya Wa Bil. 28 Arusha Huu hapa munekano wa uwanja mpya wa Bil. 28 Arusha

Tue, 19 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Serikali imesaini mkabata wa ujenzi wa Uwanja wa Samia Suluhu Hassan utakaojengwa jijini Arusha na kugharimu Sh bilioni 286. - Akishuhudia utiaji saini, Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro amesema dhumuni la kujenga uwanja huo jijini Arusha ni kwaajili ya kuchochea maendeleo ya sekta ya utalii kupitia michezo. - Ujenzi wa uwanja huu ni sehemu ya maandalizi ya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi tatu mwenyeji wa michuano ya Mataifa Afrika (AFCON) mwaka 2027. Mataifa mengine ni Kenya na Uganda.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live