Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Huu hapa mpira rasmi wa AFCON 2023

Puma Africa Cup 2023 Ball (2) Huu hapa mpira rasmi wa AFCON 2023

Tue, 9 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mpira rasmi utakaotumika kwa ajili Mashindano ya Mataifa Afrika (AFCON 2023) yatakayofanyika nchini Ivory Coast umezinduliwa rasmi na unaitwa jina la Laurent Pokou.

Mpira rasmi utakaotumika kwa ajili Mashindano ya Mataifa Afrika (AFCON 2023) yatakayofanyika nchini Ivory Coast umezinduliwa rasmi na unaitwa jina la Laurent Pokou. Pokou ni jina la mchezaji wa zamani wa taifa hilo. Mpira huo umetengenezwa na Kampuni ya vifaa va michezo, Puma.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live