Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hussein Kazi amefanya kosa la kawaida, hata Inonga alishafanya

Kazi Aziz Ki 4 04 23 At 13.jpeg Hussein Kazi amefanya kosa la kawaida, hata Inonga alishafanya

Tue, 23 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kosa alilofanya Hussein Kazi ni kosa la kawaida kwenye soka, sioni sababu ya mashabiki wa Simba kumsakama kama jinsi mnavyofanya huko Twitter | X

Hata Inonga aliwahi kufanya tackling kwa Maxi Nzengeli kama alivyofanya Kazi kwa Aziz Ki na kusababisha penati kwenye mechi ya kwanza Simba 1 - 5 Yanga.

Msimtoe dogo kwenye Mchezo, inabidi mumpe Moyo ukizingatia hii ni derby yake ya kwanza ya Kariakoo.

Mimi naamini Kazi ni beki mzuri tu isipokuwa alikutana na mchezaji bora mzoefu wa mechi kubwa ambaye alitumia kosa hilo kutoa adhabu kwa Simba Sports Club.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live