Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hodgson arithi mikoba ya Vieira Crystal Palace

Roy Hudhson.jpeg Hodgson arithi mikoba ya Vieira Crystal Palace

Tue, 21 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja wa zamani wa Liverpool na timu ya Taifa England, Mkongwe Roy Hodgson ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Crystal Palace kwa mkataba mpaka mwisho wa msimu na kuchukua mikoba ya Patrick Vieira aliyefutwa kazi.

Hodgson (75) amerejea Crystal Palace kwa mara ya pili baada ya kuinoa klabu hiyo kati ya mwaka 2017 mpaka 2021 na anachukua nafasi ya Vieira aliyetupiwa virago kufuatia mwenendo wa mechi 12 mfululizo bila ushindi.

Hodgson atasaidiwa na na Paddy McCarthy na Ray Lewington huku Dean Kiely akiendelea kusalia kama kocha wa magolikipa klabuni hapo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live