Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hizi ndio sajili 10 Bora Msimu huu, unakubali ama unakataa?

Maxi Mpia Nzengeli Ii Kiungo wa Yanga, Maxi Mpia Nzengeli

Thu, 16 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Haya Hapa maingizo 10 bora Mapya katika Vilabu vyao Vipya vya ligi kuu ya Tanzania bara mwanzoni mwa msimu huu na dirisha dogo la Usajili.

1. Maxi Nzengeli - Yanga Sc

2. Yao Kouassi - Yanga Sc

3. Ley Matampi - Coastal Union

4.Feisal Salum - Azam Fc

5. Pacome Zouzoua - Yanga Sc

6. Gibril Sillah - Azam Fc

7. Ayoub lakread - Simba Sc

8. Yona Amos - Tz Prison

9. Elvis Rupia - Singida/Ihefusl sc

10. Mubaraq Amza - Ihefu Sc/Kagera Sugar

Je unadhani nani amekosekana katika hiyo orodha? tupe maoni yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: