Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hizi ndio Timu zilizofungwa mabao machache Ligi Kuu

Simba Vs Yanga Kibu DD.jpeg Hizi ndio Timu zilizofungwa mabao machache Ligi Kuu

Tue, 14 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati huu Ligi Kuu Tanzania Bara 2023/24 (NBC) ikiwa imesimama kupisha ratiba ya FIFA.

Tayari Mizunguko 9 ya Ligi hiyo imeshachezwa mpaka sasa na Yanga ndio Kinara wa Ligi akiwa kileleni na alama zake 24.

Hizi hapa ndio Timu zilizofungwa magoli machache NBC:-

Young Africans imeruhusu mabao 5

Kagera sugar imeruhusu mabao 7

Tabora United imeruhusu mabao 7

Coastal Union imeruhusu mabao 8

Azam FC imeruhusu mabao 9

Dodoma Jiji imeruhusu mabao 9

Namungo imeruhusu mabao 9

Mashujaaa imeruhusu mabao 9

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: