Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hizi namba za Aziz KI mbona zinatisha!

Aziz Ki Mwe Hizi namba za Aziz KI mbona zinatisha!

Mon, 29 Jul 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wafungaji bora Ligi Kuu Tanzania bara tangu mwaka 2004 | 5 hadi sasa (20 yrs) :

◉ 2005 - Abu. Mkangwa ›› Mtibwa - 16 ◉ 2006 - Isse Abshir ›› Simba - 19 ◉ 2007 - Abdallah Juma ›› Mtibwa - 20 ◉ 2008 - M. Katende ›› Kagera - 11 ◉ 2009 - Boni Ambani ›› Yanga - 18 ◉ 2010 - Mussa Mgosi ›› Simba - 18 ◉ 2011 - Mrisho Ngassa ›› Azam - 18 ◉ 2012 - John Bocco ›› Azam - 19 ◉ 2013 - Kipre Tchetche ›› Azam - 17 ◉ 2014 - Amiss Tambwe ›› Simba - 19 ◉ 2015 - Simon Msuva ›› Yanga - 17 ◉ 2016 - Amiss Tambwe ›› Yanga - 21 ◉ 2017 - Msuva & Abdulrahman - 14 ◉ 2018 - Emmanuel Okwi ›› Simba - 20 ◉ 2019 - Meddie Kagere ›› Simba - 23 ◉ 2020 - Meddie Kagere ›› Simba - 22 ◉ 2021 - John Bocco ›› Simba - 16 ◉ 2022 - George Mpole ›› Geita - 17 ◉ 2023 - Mayele & Ntibazonkiza - 17 ◉ 2024 - Stephane Aziz Ki ›› Yanga - 21 ◉ 2025 - ?

Tangu kurejea kwa mfumo wa timu (16), msimu wa mwaka 2021/22 hakuna mchezaji aliyefunga magoli mengi ndani ya msimu (1) kuliko Aziz Ki.

John Bocco, Simon Msuva, Meddie Kagere na Amissi Tambwe ndio wachezaji pekee ndani ya miaka (20) waliotwaa kiatu cha dhahabu mara mbili.

Aziz Ki ndiye kiungo pekee aliyefunga magoli mengi zaidi ndani ya msimu mmoja kwenye historia ya ligi kuu Tanzania bara.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live