Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hizi hapa salamu za Daktari Khalid Aucho kwa Wananchi (+Video)

Khalid Auchoooooooo Kiungo wa Yanga, Khalid Aucho

Fri, 22 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Sintofahamu ya wiki kadhaa kuwa atacheza ama hatacheza dhidi ya Timu tishio barani Afrika ya Mamelodi Sundowns.

Kiungo Fundi wa Yanga Khalid Aucho ni dhahiri kuwa atakuwa fiti kuwavaa Mamelodi baada ya kufanyiwa upasuaji mdogo siku chache zilizopita.

Tazama Video hapa chini kisha utupe maoni yako je unamuona akianza dhidi ya mamelodi au hapana?

View this post on Instagram

A post shared by Ally Kamwe (@alikamwe)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: