Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hivi ndivyo vilabu vyenye mafanikio zaidi Afrika, Simba yaipiku Yanga

Simba Yanga Cafcl Hivi ndivyo vilabu vyenye mafanikio zaidi Afrika, Simba yaipiku Yanga

Mon, 19 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Al Ahly ndio Klabu yenye mafanikio zaidi Barani Afrika, tangu kuanzishwa kwake mwaka 1907 imefanikiwa kutwaa jumla ya Mataji 150, pia ni Klabu iliyofanikiwa zaidi Ulimwenguni kwa kigezo cha Mataji, hii ndio sababu ya kujulikana kama Klabu ya Karne.

Kwa mujibu wa Africa Facts Zone, hivi ndivyo Vilabu vyenye mafanikio zaidi barani Afrika mpaka Februari 2024;

Africa's Most Successful Clubs (Update)

1. Al Ahly - 150 trophies

2. Kaizer Chiefs - 93 trophies

3. CS Mindelense - 88 trophies

4. Asante Kotoko - 83 trophies

5. Hearts of Oak - 80 trophies

6. Zamalek - 79 trophies

7. ASEC Mimosas - 71 trophies

8. Esperance - 66 trophies

9. Saint George SC - 64 trophies

10. Stade Malien - 59 trophies

11. Africa Sports - 58 trophies

12. Simba SC - 54 trophies

13. Wydad Casablanca - 53 trophies

14. Young Africans SC - 51 trophies

15. Mufulira Wanderers - 49 trophies

16. Gor Mahia ????????, Nkana FC - 48 trophies each

18. Orlando Pirates - 46 trophies

19. Sporting Praia - 45 trophies

20. Wallidan FC - 44 trophies

21. Nyasa Big Bullets - 43 trophies

22. Dynamos, Etoile Filante - 42 trophies each

24. Mamelodi Sundowns - 41 trophies

25. APR FC - 40 trophies

26. Raja Casablanca, Club Africain - 39 trophies each

28. Al-Merrikh SC, TP Mazembe - 38 trophies each

30. Al Hilal Omdurman, Etoile du Sahel, Horoya AC, Petro de Luanda - 37 trophies each.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live