Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hivi ndivyo Haaland alivyowaadhibu RB Leipzig

Skysports Erling Haaland Man City 6088963 Erling Braut Haaland

Wed, 15 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Erling Haaland dhidi ya Rb Leipzig usiku wa jana katika Champions league

Dakika alizocheza 63

Mabao 5

Pasi za mabao 0

Kugusa mpira x 30

Jumla ya pasi 16 (pasi sahihi 11)

Kiwango cha kukamililika kwa pasi 69%

Jumla ya mashuti 8 (yaliyolenga goli 8)

Nafasi alizotengeneza 1

Kukokota mpira kwa usahihi x 2

Kuotea x 1

Mpira ya kugombania aliyoshinda 2

mipira ya juu ya kugombania aliyoshinda 3

Faulo alizochezewa 1

Haaland sasa amefunga mabao mengi (7) dhidi ya Rb Leipzig kuliko timu nyingine yoyote katika career yake

Michezo 6 mabao 7

Takwmu zake katika michuano ya Uefa champions league msimu huu hadi sasa

Michezo 6

Dakika alizocheza 402

Mabao 10

Pasi za mabao 0

Ana wastani wa kufunga bao kwa kila dakika 40

Chanzo: www.tanzaniaweb.live