Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hivi ndivyo Ally Salim alivyooga Noti Zanzibar (+Video)

Ally Salim Noti.jpeg Mlinda Mlango wa Simba SC, Ally Salim

Thu, 11 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Golikipa wa Simba, Ally Salim akioga noti baada ya kuokoa penalti tatu katika tano zilizopigwa na Singida Fountain Gate pia kiwango kizuri katika dakika 90.

Ushindi wa Penati 3-2 walioupata Simba unawapeleka katika mchezo wa Fainali ya Mapinduzi Cup 2024.

Tazam Ally Salim akioga noti kutoka kwa Shabiki hapa chini;

View this post on Instagram

A post shared by Mwanaspoti (@mwanaspoti_tz)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live