Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Historia kuwaumiza Real Madrid Etihad?

Madrid Squad Kikosi cha Real Madrid

Thu, 11 May 2023 Chanzo: Mwanaspoti

Real Madrid imepenya katika mechi mbili tu kati ya tisa za mtoano za ligi ya Mabingwa Ulaya ambazo ilikosa ushindi katika mechi ya awali nyumbani, zote ilizopenya ni dhidi ya Manchester United (1999-00 na 2012-13).

Juzi Jumanne kwa mara nyingine Real Madrid ilitoa sare nyumbani dhidi ya Man City mchezo wa Nusu Fainali ya kwanza ya UEFA.

Je Real watatoboa?

Chanzo: Mwanaspoti