Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Historia haiwabebi Mamelodi Nusu Fainali CAF

Zxz Mamelodis Historia haiwabebi Mamelodi Nusu Fainali CAF

Tue, 16 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katika timu nne ambazo zimetinga hatua ya Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika CAFCL,Mamelodi pekee ndio ambao wana taji moja walilochukua mwaka 2016.

Ukienda kwa mlengwa wa kuhistoria unaona wazi kwamba Mamelodi Sundowns ndio anashika nafasi ya mwisho kati ya hao wanne kwa waliobeba mataji mengi ila mwisho wa siku ubora wa wakati uliopo ndio utaamua bingwa wa msimu huu.

Al Ahly mataji 11

Tp Mazembe mataji 5

Esperance mataji 4

Mamelodi taji 1

Chanzo: www.tanzaniaweb.live