Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hispania yatinga Qatar dakika za Jioni

Morataaa Alvaro Morata, mfungaji pekee wa goli la Hispania

Mon, 15 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mabingwa wa Kombe la Dunia mwaka 2010, Timu ya Hispania iliwapasa mpaka wasubiri dakika za jioni kujihakikishia tiketi ya kwenda kushiriki kwa Fainali za Kombe la Dunia nchi Qatar 2022.

Bao pekee la Alvaro Morata zikiwa zimesalia dakika nne limeipa Hispania tiketi ya Kombe la Dunia mwakani Qatar baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Sweden usiku wa kuamkia leo katika mchezo wa Kundi B Uwanja wa OlĂ­mpico de Jijini Sevilla.

Hispania inamaliza na pointi 20, tatu zaidi ya Sweden inayokwenda kucheza Play-Off kujaribu tena kukata tiketi ya Qatar.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live