Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hispania yamfuta kazi Luis Enrique

Luis Enrique Kocha Luis Enrique

Thu, 8 Dec 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Luis Enrique Martinez Garcia wa Hispania amefutwa kazi baada ya kutolewa na Morocco kwenye michuano ya Kombe la Dunia la FIFA inayoendelea nchini Qatar.

Hispania walitolewa kwa mikwaju ya penati na Timu ya Morocco kwa changamoto ya mikwaju ya penati 3-0 baada ya timu hizo kwenda sare ndani ya dakika 120.

Luis de la Fuente aliekuwa akifundisha timu ya Hipania U21 ndio alieteuliwa kuziba nafasi ya Luis Enrique.

Kwa sasa Enrique anajiandaa kurejea katika kufundisha soka la vilabu japo bado haijajulikana atakwenda timu gani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live