Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Himid Mao, Man of The Match

Himid Mao S.jpeg Himid Mao, Man of The Match

Tue, 25 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa Kimataifa wa Tanzania, Himid Mao amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mechi ya Ligi Kuu ya Misri kati ya Ghazl El Mahallah dhidi ya Ismaily SC.

Mchezaji wa Kimataifa wa Tanzania, Himid Mao amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mechi ya Ligi Kuu ya Misri kati ya Ghazl El Mahallah dhidi ya Ismaily SC. Katika mchezo huo, Himid Mao alicheza kwa dakika zote 90 na ulimalizikwa kwa wenyeji Ghazl El Mahallah kuibuka na ushindi wa mabao 2-1.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live