Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hilo tizi la Simba huko Lindi balaa!

Simba Tizi Hilo tizi la Simba huko Lindi balaa!

Fri, 5 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wekundu wa Msimbazi Simba SC, wapo mkoani Lindi wakipiga tizi zito kwa ajili ya mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam.



Simba wameweka nguvu kubwa kwenye mechi hiyo ya Azam baada ya kuona ndoto za kuwania ubingwa kuanza kuyeyuka.



Picha walizopost kwenye kurasa zao Simba wameonekana wakipiga tizi hilo baab'kubwa kuonesha kwamba kweli wamedhamiria kuvuka na kwenda fainali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live