Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hiki ndio kizazi bora cha England?

England Generation Hiki ndio kizazi bora cha England?

Fri, 17 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

England kwasasa inatajwa kuwa timu ya kizazi cha dhahabu, kizazi ambacho kina nyota wengi wanaofanya vizuri Barani Ulaya.

Kuanzia kwa kinara wa magoli Bundesliga Harry Kane na Kinara wa magoli Laliga Jude Bellingham, Marcus Raahford na nyota wengine wengi.

Leo saa 4:35 watashuka dimbani kutafuta tiketi ya kufuzu fainali za Euro dhidi ya Malta.

Tuendelee kuamini kuwa kizazi hiki cha England kitafanikiwa kuliko kizazi kilichopita ?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live