Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hiki ndicho walichokuwa wanakihitaji Mashabiki Simba SC

Video Archive
Sat, 2 Oct 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kupata ushindi mwembamba wa goli 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji, Mashabiki wa Klabu ya Wekundu wa Msimbazi Simba wamesema angalau wameridhishwa na kiwango cha timu yao baada ya kuonesha uwezo mkubwa katika mchezo huo uliokuwa na ushindani wa hali ya juu.

Mashabiki wa Simba wamesema angalau wamefurahishwa na viwango vya nyota wao wapya ambao walipata nafasi katika mchezo huo.

"Leo hii tunajua asilimia kubwa ya waliosajiliwa wanafanya nini uwanjani ndio maana tulikuwa tunalalamika angalau wapate nafasi" amesema K mziwanda

Chanzo: www.tanzaniaweb.live