Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hiki ndicho usichokijua kuhusu Khalid Aucho

Khalid Aucho Vs Merrikh.jpeg Kiungo wa Yanga Khalid Aucho

Mon, 2 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ntakwambia kitu, Aucho anazuia vizuri kuliko anavyo onekana. Ni kweli anaonekana kucheza rafu za hapa na pale pamoja na matumizi ya nguvu.

Mali na hilo lakini pia Aucho anaweka presha vizuri kwenye mpira, anapoka vizuri mpira na katika kucheza kwao kote, eneo analocheza Aucho ni eneo ambalo Merreikh hata kipindi cha kwanza walishindwa kukaa na umiliki wala kupita kabisa kwenye eneo lake.

Wakati mnamuita Daktari akiwa na mpira kumbukeni anaitwa "The Tank" timu ikiwa haina mpira.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: