Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hiki ndicho usichokijua kuhusu Juma Nyoso

Juma Nyosso.jpeg Mlinzi wa Ihefu Juma Nyoso

Tue, 17 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi wa Ihefu Juma Nyoso anaonekana kama mtu nkatili na mwenye michezo michafu ndani na nje ya uwanja.

Sasa usichokijua kuhusu mlinzi huyo ni hiki ambacho kiaelezewa na mchezaji aliewahi kupita Ihefu;

"Wakati niko katika klabu ya Ihefu nilipata nafasi ya kuishi karibu na Juma Nyoso, Watu wengi wanavyomtamzama Juma Nyoso anapokuwa uwanjani wanafikili ndiyo yuko kwenye maisha ya kawaida"

"Juma Nyoso ni mtu anayependa sana kufanya sala muda wote anapokuwa kambini na hufanya sala zote 5 anapokuwa kambini, Muda wote kama tunakuwa hatuna mechi na tuko kwenye mapumziko ya mazoezi basi Juma nyoso muda wote anatumia kujipumzisha chumbani kwa kulala na kutulia sehemu moja, Ndiyo sababu inafanya bado anakuwa na nguvu ya kupambana na vijana wa sasa"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live